Naibu Waziri Mary Masanja ahesabiwa nyumbani kwake Magu
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akihojiwa na Karani wa Sensa, Anthony Mlegi (kulia), wakati akihesabiwa katika makazi yake kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza leo.