Naibu Waziri Ridhiwani Kikwete ahesabiwa na familia yake nyumbani Chalinze
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.Ridhiwani Kikwete akihesabiwa nyumbani kwake Chalinze mkoani Pwani wakati wa zoezi la Sensa ya watu na Makazi linaloendelea nchini kote.