"Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unapenda kuwatangazia waajiri wote nchini wenye malimbikizo ya madeni ya michango ya watumishi wao kulipa haraka malimbikizo hayo kabla ya tarehe 30 mwezi huu wa Agosti, 2022 ili kuondoa usumbufu unaoweza kujitokeza".