Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika tarehe 31 Agosti, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.(Picha na Ikulu).