SAA TANO KAMILI WADAU WATAKUJUZA KUHUSU SOKA, USIKOSE

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano maalum utakaofanyika leo Agosti 16, 2022 (Jumanne) kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.

Mada:Tathmini na matarajio ya wadau wa soka juu ya mwenendo wa usajili wa wachezaji kwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya NBC 2022/2023

Muda ukifika saa 5 kamili asubuhi utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3zQpSVU

Au kupitia
Meeting ID: 810 4018 2983
Passcode: 574809

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel-Tanzania.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news