Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo Agosti 23, 2022 ameshiriki zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ambapo amehesabiwa katika makazi yake yaliyopo Mtaa wa Sisimba, Uzunguni jijini Mbeya na kuzungumza na waandishi wa habari mara baada ya tukio hilo.