WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano maalum utakaofanyika Agosti 27, 2022 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12:30 jioni.
Mada:Kukua kwa Diplomasia ya Uchumi na Fursa mbalimbali zinazopatikana Marekani, Canada, Brazili na Cuba
Muda ukifika (Saa 10 kamili, Agosti 27, 2022 - Jumamosi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3PCxrpa
Au kupitia
Meeting ID: 83215535581
Passcode: 603885
Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.