NA GODFREY NNKO
LEO Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.18 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku shilingi ya Uganda (UGX) ikinunuliwa kwa shilingi 0.57 na kuuzwa kwa shilingi 0.59.
Hayo ni kwa mujibu wa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 10, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Franka ya Burundi (BIF) inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21 huku Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) ikinunuliwa kwa shilingi 624.39 na kuuzwa kwa shilingi 630.47.
Yuan ya China (CNY) inanunuliwa kwa shilingi 339.63 na kuuzwa kwa shilingi 342.88 huku Yen ya Japan (JPY) ikinunuliwa kwa shilingi 16.99 na kuuzwa kwa shilingi 17.15.
Randi ya Afrika Kusini (ZAR) inanunuliwa kwa shilingi 137.87 na kuuzwa kwa shilingi 139.12 huku shilingi ya Kenya (KES) ikinunuliwa kwa shilingi 19.25 na kuuzwa kwa shilingi 19.41.
Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2783.52 na kuuzwa kwa shilingi 2812.28 huku Dola ya Canada (CAD) ikinunuliwa kwa shilingi 1783.59 na kuuzwa kwa shilingi 1801.15.
Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2347.06 na kuuzwa kwa shilingi 2371.45 huku Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2293.17 na kuuzwa kwa shilingi 2316.1.
Tags
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
Fedha na Uchumi
Fedha za Kigeni
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania
Uchumi na Biashara