NA GODFREY NNKO
LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 624.39 na kuuzwa kwa shilingi 630.49 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.15 na kuuzwa kwa shilingi 148.46.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 12, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2372.55 na kuuzwa kwa shilingi 2396.74.
Aidha,Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2805.97 na kuuzwa kwa shilingi 2834.26 huku Dinar ya Algeria (DZD) ikinunuliwa kwa shilingi 16.67 na kuuzwa kwa shilingi 16.68.
Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 229.15 na kuuzwa kwa shilingi 231.37 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 141.99 na kuuzwa kwa shilingi 143.38.
Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.
Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.85 na kuuzwa kwa shilingi 29.12 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.24 na kuuzwa kwa shilingi 19.39.
Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.21 na kuuzwa kwa shilingi 2.27 huku Kwacha ya Zambia (ZMK) ikinunuliwa kwa shilingi 141.45 na kuuzwa kwa shilingi 143.41.
Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.25 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 10.04 na kuuzwa kwa shilingi 10.66.
Tags
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
Fedha na Uchumi
Fedha za Kigeni
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania