NA GODFREY NNKO
LEO Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.91 na kuuzwa kwa shilingi 29.19 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.21 na kuuzwa kwa shilingi 19.37.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 17, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.
Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.23 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 10.21 na kuuzwa kwa shilingi 10.82.
Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 624.41 na kuuzwa kwa shilingi 630.52 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.16 na kuuzwa kwa shilingi 148.46.
Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2323.32 na kuuzwa kwa shilingi 2346.78.
Aidha,Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2773.02 na kuuzwa kwa shilingi 2800.98 huku Dinar ya Algeria (DZD) ikinunuliwa kwa shilingi 16.451 na kuuzwa kwa shilingi 16.453.
Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 220.56 na kuuzwa kwa shilingi 222.71 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 139.50 na kuuzwa kwa shilingi 140.85.
Tags
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
Fedha na Uchumi
Fedha za Kigeni
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania
Uchumi na Biashara