Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Agosti 18,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 220.46 na kuuzwa kwa shilingi 222.60 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 137.82 na kuuzwa kwa shilingi 139.16.
Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.87 na kuuzwa kwa shilingi 29.004 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.21 na kuuzwa kwa shilingi 19.37.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 18, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.22 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 10.15 na kuuzwa kwa shilingi 10.76.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2329.27 na kuuzwa kwa shilingi 2353.49.

Aidha,Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2767.74 na kuuzwa kwa shilingi 2796.35 huku Dinar ya Algeria (DZD) ikinunuliwa kwa shilingi 16.46 na kuuzwa kwa shilingi 16.47.

Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.18 na kuuzwa kwa shilingi 2.23 huku Kwacha ya Zambia (ZMK) ikinunuliwa kwa shilingi 141.19 na kuuzwa kwa shilingi 143.42.
Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 624.41 na kuuzwa kwa shilingi 630.51 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.16 na kuuzwa kwa shilingi 148.46.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news