NA GODFREY NNKO
LEO Franka ya Burundi (BIF) inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21 huku Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) ikinunuliwa kwa shilingi 624.31 na kuuzwa kwa shilingi 630.52.
Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.27 huku shilingi ya Uganda (UGX) ikinunuliwa kwa shilingi 0.57 na kuuzwa kwa shilingi 0.59.
Hayo ni kwa mujibu wa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 5, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Randi ya Afrika Kusini (ZAR) inanunuliwa kwa shilingi 136.94 na kuuzwa kwa shilingi 138.27 huku shilingi ya Kenya (KES) ikinunuliwa kwa shilingi 19.26 na kuuzwa kwa shilingi 19.42.
Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2770.00 na kuuzwa kwa shilingi 2798.63 huku Dola ya Canada (CAD) ikinunuliwa kwa shilingi 1785.72 na kuuzwa kwa shilingi 1803.30.
Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2332.94 na kuuzwa kwa shilingi 2357.20 huku Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2293.04 na kuuzwa kwa shilingi 2315.98.
Yuan ya China (CNY) inanunuliwa kwa shilingi 339.42 na kuuzwa kwa shilingi 342.73 huku Yen ya Japan (JPY) ikinunuliwa kwa shilingi 17.15 na kuuzwa kwa shilingi 17.32.
Tags
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
Fedha za Kigeni
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania
Uchumi na Biashara