HomeHabari Waziri Dkt.Angeline Mabula ahesabiwa nyumbani Ilemela Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt.Angeline Mabula akihesabiwa nyumbani kwake Ilemela mkoani Mwanza wakati wa zoezi la Sensa ya watu na Makazi linaloendelea nchini kote. Tags Habari Picha Sensa ya Watu na Makazi 2022 Facebook Twitter