HomeHabari Waziri wa Afya ahesabiwa nyumbani kwake Tanga Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu naye amehesabiwa kwa kujibu maswali ya karani wa Sensa, Emanuel Mtera alipofika nyumbani kwake eneo la Sahare Tanga. Tags Habari Picha Sensa ya Watu na Makazi 2022 Facebook Twitter