"Hatimaye karani wa Sensa 2022 amefika nyumbani kwetu na mimi na familia yangu tumehesabiwa Jioni ya leo. Zoezi ni smooth sana na maswali yanaeleweka. Maswali haya yanachukua taarifa muhimu sana kwa ajili ya kutunga sera za Maendeleo ya Taifa letu,"ameeleza Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Bw.Zito Kabwe.