KESHO USIKOSE:Mjadala wa Kitaifa juu ya Punguzo la Tozo na Faida zake kwa Wananchi

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano maalum na muhimu utakaofanyika Alhamisi ya Septemba 22, 2022 kuanzia saa 8 kamili mchana hadi saa 10:30 jioni.
Mada;Mjadala wa kitaifa juu ya Punguzo la Tozo na Faida zake kwa Wananchi

Muda ukifika (Saa 8 kamili mchana, Septemba 22, 2022 ya Alhamisi utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3UDdjan

Au kupitia
Meeting ID: 832 7799 6987
Passcode: 726807
Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel-Tanzania.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news