Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Septemba 13,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 218.90 na kuuzwa kwa shilingi 221.04 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.30 na kuuzwa kwa shilingi 135.58.
Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2294.65 na kuuzwa kwa shilingi 2317.6 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7445.82 na kuuzwa kwa shilingi 7517.84.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.23 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.44 na kuuzwa kwa shilingi 9.99.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Septemba 13, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.87 na kuuzwa kwa shilingi 29.15 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.07 na kuuzwa kwa shilingi 19.23.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2326.55 na kuuzwa kwa shilingi 2350.28.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2681.53 na kuuzwa kwa shilingi 2709.27 huku Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.26.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 624.75 na kuuzwa kwa shilingi 630.96 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.25 na kuuzwa kwa shilingi 148.55.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.09 na kuuzwa kwa shilingi 16.26 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 331.40 na kuuzwa kwa shilingi 334.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today September 13th, 2022 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 624.7525 630.9657 627.8591 13-Sep-22
2 ATS 147.248 148.5527 147.9003 13-Sep-22
3 AUD 1578.7216 1594.7406 1586.7311 13-Sep-22
4 BEF 50.2277 50.6723 50.45 13-Sep-22
5 BIF 2.197 2.2136 2.2053 13-Sep-22
6 BWP 178.2946 180.541 179.4178 13-Sep-22
7 CAD 1766.4769 1783.5924 1775.0347 13-Sep-22
8 CHF 2408.3265 2431.389 2419.8577 13-Sep-22
9 CNY 331.4058 334.4783 332.942 13-Sep-22
10 CUC 38.3101 43.5475 40.9288 13-Sep-22
11 DEM 919.4428 1045.1409 982.2919 13-Sep-22
12 DKK 312.8788 315.9818 314.4303 13-Sep-22
13 DZD 16.6056 16.7046 16.6551 13-Sep-22
14 ESP 12.1778 12.2852 12.2315 13-Sep-22
15 EUR 2326.5491 2350.2782 2338.4137 13-Sep-22
16 FIM 340.7766 343.7964 342.2865 13-Sep-22
17 FRF 308.8903 311.6227 310.2565 13-Sep-22
18 GBP 2681.532 2709.2744 2695.4032 13-Sep-22
19 HKD 292.3423 295.262 293.8022 13-Sep-22
20 INR 28.8745 29.154 29.0142 13-Sep-22
21 ITL 1.0464 1.0557 1.0511 13-Sep-22
22 JPY 16.0972 16.257 16.1771 13-Sep-22
23 KES 19.0744 19.2332 19.1538 13-Sep-22
24 KRW 1.667 1.6831 1.6751 13-Sep-22
25 KWD 7445.8221 7517.8409 7481.8315 13-Sep-22
26 MWK 2.0908 2.2291 2.1599 13-Sep-22
27 MYR 509.6399 514.5077 512.0738 13-Sep-22
28 MZM 35.3568 35.6554 35.5061 13-Sep-22
29 NAD 103.4479 104.4258 103.9369 13-Sep-22
30 NLG 919.4428 927.5966 923.5197 13-Sep-22
31 NOK 233.5026 235.7657 234.6341 13-Sep-22
32 NZD 1410.5235 1425.0922 1417.8079 13-Sep-22
33 PKR 9.4369 9.9897 9.7133 13-Sep-22
34 QAR 736.6846 736.9368 736.8107 13-Sep-22
35 RWF 2.1979 2.2567 2.2273 13-Sep-22
36 SAR 610.7187 616.6618 613.6903 13-Sep-22
37 SDR 2988.4649 3018.3495 3003.4072 13-Sep-22
38 SEK 218.9012 221.0375 219.9693 13-Sep-22
39 SGD 1644.6771 1660.5288 1652.6029 13-Sep-22
40 TRY 125.8524 127.0684 126.4604 13-Sep-22
41 UGX 0.5789 0.6075 0.5932 13-Sep-22
42 USD 2294.6535 2317.6 2306.1267 13-Sep-22
43 GOLD 3968350.7564 4008752.72 3988551.7382 13-Sep-22
44 ZAR 134.301 135.5789 134.94 13-Sep-22
45 ZMK 146.7985 149.2818 148.0402 13-Sep-22
46 ZWD 0.4294 0.4381 0.4337 13-Sep-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news