Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Septemba 5,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.34 na kuuzwa kwa shilingi 16.50 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 332.106 na kuuzwa kwa shilingi 335.33.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Septemba 5, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.73 na kuuzwa kwa shilingi 28.99 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.11 na kuuzwa kwa shilingi 19.27.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2290.81 na kuuzwa kwa shilingi 2314.64.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2650.28 na kuuzwa kwa shilingi 2677.71 huku Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.26.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 624.58 na kuuzwa kwa shilingi 630.79 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.21 na kuuzwa kwa shilingi 148.51.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.07 na kuuzwa kwa shilingi 2.21 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.98 na kuuzwa kwa shilingi 10.58.

Aidha, Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2294.02 na kuuzwa kwa shilingi 2316.96 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7441.59 na kuuzwa kwa shilingi 7505.78.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 213.09 na kuuzwa kwa shilingi 215.16 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 132.43 na kuuzwa kwa shilingi 133.06.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today September 5th, 2022 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 624.58 630.7914 627.6857 05-Sep-22
2 ATS 147.2073 148.5117 147.8595 05-Sep-22
3 AUD 1560.8511 1576.923 1568.887 05-Sep-22
4 BEF 50.2139 50.6583 50.4361 05-Sep-22
5 BIF 2.1964 2.213 2.2047 05-Sep-22
6 CAD 1744.1039 1760.8755 1752.4897 05-Sep-22
7 CHF 2333.93 2356.3104 2345.1202 05-Sep-22
8 CNY 332.1057 335.3345 333.7201 05-Sep-22
9 DEM 919.1889 1044.8523 982.0206 05-Sep-22
10 DKK 308.1083 311.1475 309.6279 05-Sep-22
11 ESP 12.1744 12.2818 12.2281 05-Sep-22
12 EUR 2290.8082 2314.643 2302.7256 05-Sep-22
13 FIM 340.6825 343.7015 342.192 05-Sep-22
14 FRF 308.805 311.5366 310.1708 05-Sep-22
15 GBP 2650.2811 2677.7107 2663.9959 05-Sep-22
16 HKD 292.2728 295.1918 293.7323 05-Sep-22
17 INR 28.7298 28.9972 28.8635 05-Sep-22
18 ITL 1.0461 1.0554 1.0508 05-Sep-22
19 JPY 16.3438 16.5037 16.4238 05-Sep-22
20 KES 19.1089 19.2679 19.1884 05-Sep-22
21 KRW 1.6846 1.7008 1.6927 05-Sep-22
22 KWD 7441.5927 7505.7825 7473.6876 05-Sep-22
23 MWK 2.0757 2.2135 2.1446 05-Sep-22
24 MYR 511.8295 516.4869 514.1582 05-Sep-22
25 MZM 35.347 35.6456 35.4963 05-Sep-22
26 NLG 919.1889 927.3404 923.2647 05-Sep-22
27 NOK 228.6931 230.9109 229.802 05-Sep-22
28 NZD 1397.5168 1411.9554 1404.7361 05-Sep-22
29 PKR 9.9827 10.5787 10.2807 05-Sep-22
30 RWF 2.1927 2.2631 2.2279 05-Sep-22
31 SAR 610.4364 616.2128 613.3246 05-Sep-22
32 SDR 2986.6074 3016.4734 3001.5404 05-Sep-22
33 SEK 213.0919 215.1629 214.1274 05-Sep-22
34 SGD 1636.248 1652.0214 1644.1347 05-Sep-22
35 UGX 0.5786 0.6072 0.5929 05-Sep-22
36 USD 2294.0198 2316.96 2305.4899 05-Sep-22
37 GOLD 3910844.9582 3952965.4558 3931905.207 05-Sep-22
38 ZAR 132.427 133.7034 133.0652 05-Sep-22
39 ZMW 147.9531 148.4755 148.2143 05-Sep-22
40 ZWD 0.4293 0.4379 0.4336 05-Sep-22





Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news