Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Septemba 6,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.60 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Septemba 6, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.76 na kuuzwa kwa shilingi 29.02 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.10 na kuuzwa kwa shilingi 19.26.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2275.38 na kuuzwa kwa shilingi 2299.07.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2635.57 na kuuzwa kwa shilingi 2663.09 huku Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.18 na kuuzwa kwa shilingi 2.25.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 624.63 na kuuzwa kwa shilingi 630.84 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.22 na kuuzwa kwa shilingi 148.52.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.22 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.93 na kuuzwa kwa shilingi 10.53.

Aidha, Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2294.19 na kuuzwa kwa shilingi 2317.14 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7439.76 na kuuzwa kwa shilingi 7503.93.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 212.09 na kuuzwa kwa shilingi 214.15 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 133.18 na kuuzwa kwa shilingi 134.46.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.32 na kuuzwa kwa shilingi 16.48 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 330.98 na kuuzwa kwa shilingi 334.22.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today September 6th, 2022 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 624.6285 630.8405 627.7345 06-Sep-22
2 ATS 147.2188 148.5232 147.871 06-Sep-22
3 AUD 1556.8428 1573.3381 1565.0904 06-Sep-22
4 BEF 50.2177 50.6623 50.44 06-Sep-22
5 BIF 2.1966 2.2131 2.2048 06-Sep-22
6 CAD 1745.0353 1762.3517 1753.6935 06-Sep-22
7 CHF 2336.0126 2358.4122 2347.2124 06-Sep-22
8 CNY 330.9815 334.2189 332.6002 06-Sep-22
9 DEM 919.2603 1044.9335 982.0969 06-Sep-22
10 DKK 306.0686 309.088 307.5783 06-Sep-22
11 ESP 12.1753 12.2827 12.229 06-Sep-22
12 EUR 2275.3856 2299.0664 2287.226 06-Sep-22
13 FIM 340.709 343.7282 342.2186 06-Sep-22
14 FRF 308.829 311.5608 310.1949 06-Sep-22
15 GBP 2635.5746 2663.089 2649.3318 06-Sep-22
16 HKD 292.2917 295.2109 293.7513 06-Sep-22
17 INR 28.7609 29.0285 28.8947 06-Sep-22
18 ITL 1.0462 1.0555 1.0509 06-Sep-22
19 JPY 16.316 16.478 16.397 06-Sep-22
20 KES 19.1024 19.2613 19.1819 06-Sep-22
21 KRW 1.6739 1.6899 1.6819 06-Sep-22
22 KWD 7439.7575 7503.9347 7471.8461 06-Sep-22
23 MWK 2.0854 2.2236 2.1545 06-Sep-22
24 MYR 510.8435 515.6649 513.2542 06-Sep-22
25 MZM 35.3497 35.6483 35.499 06-Sep-22
26 NLG 919.2603 927.4125 923.3364 06-Sep-22
27 NOK 229.4359 231.6607 230.5483 06-Sep-22
28 NZD 1396.7077 1411.6017 1404.1547 06-Sep-22
29 PKR 9.9293 10.5325 10.2309 06-Sep-22
30 RWF 2.1844 2.2502 2.2173 06-Sep-22
31 SAR 610.4838 616.3426 613.4132 06-Sep-22
32 SDR 2982.8703 3012.6991 2997.7847 06-Sep-22
33 SEK 212.088 214.1495 213.1187 06-Sep-22
34 SGD 1633.6951 1649.4447 1641.5699 06-Sep-22
35 UGX 0.5766 0.605 0.5908 06-Sep-22
36 USD 2294.198 2317.14 2305.669 06-Sep-22
37 GOLD 3926057.63 3967744.2518 3946900.9409 06-Sep-22
38 ZAR 133.1792 134.4572 133.8182 06-Sep-22
39 ZMW 147.724 150.2198 148.9719 06-Sep-22
40 ZWD 0.4294 0.438 0.4337 06-Sep-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news