Afisa Uuguzi kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS) Salma Jummanne akimtoa damu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi wakati wa zoezi lililofanyika leo la uchangiaji damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi hiyo.

Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakichangia damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na ndugu wa wagonjwa wakichangia damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na ndugu wa wagonjwa wakichangia damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Zoezi la kuchangia damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) likiendelea.