BALOZI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Burundi,Dkt. Jilly Maleko atazungumza mubashara na vyombo mbalimbali vya habari vya Tanzania kupitia mtandao wa Zoom siku ya Jumatano, Oktoba 26, 2022, kuanzia saa 5 kamili asubuhi, moja kwa moja kutokea jijini Bujumbura - nchini Burundi.
Tags
Diplomasia ya Uchumi
Fursa za Kiuchumi Tanzania
Fursa za Kiuchumi Zanzibar
Habari
Mjadala wa Kitaifa
Watch Tanzania