WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano muhimu na maalum utakaofanyika Oktoba 29, 2022 (Jumamosi) kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.
Mada;Mjadala wa kitaifa juu ya Maendeleo na Fursa za Kiuchumi zinazopatikana mikoa ya Morogoro, Pwani na Njombe
Muda ukifika (Saa 5 kamili asubuhi, Oktoba 29, 2022 - (Jumamosi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3z7LrBV
Au kupitia
Meeting ID: 864 9332 7824
Passcode: 623077
