Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Balozi Dkt. Jilly Maleko, atazungumza mubashara na vyombo mbalimbali vya habari vya Tanzania kupitia mtandao wa Zoom leo siku ya Jumatano, 26/10/2022 saa 5 kamili asubuhi,
LINK:bit.ly/3N2hAkg
ID: 860 2369 5635
CODE: 194685