Spika Dkt.Tulia achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa IPU Afrika
Wajumbe wa Kundi la Kijiografia Kanda ya Afrika la Umoja wa Mabunge Duniani (African Geopolitical Group of IPU) wamemchagua, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Spika wa Bunge la Tanzania, kuwa Mwenyekiti wa Kundi hilo ambapo atahudumu kwa kipindi cha Mwaka Mmoja.