Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 10,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 207.12 na kuuzwa kwa shilingi 209.13 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 127.66 na kuuzwa kwa shilingi 128.90.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Oktoba 10, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.94 na kuuzwa kwa shilingi 10.54.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 27.94 na kuuzwa kwa shilingi 28.20 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.02 na kuuzwa kwa shilingi 19.18.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2296.65 na kuuzwa kwa shilingi 2319.62 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7408.32 na kuuzwa kwa shilingi 7479.99.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 15.85 na kuuzwa kwa shilingi 16.01 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 322.86 na kuuzwa kwa shilingi 325.86.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2572.25 na kuuzwa kwa shilingi 2598.44 huku Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.15 na kuuzwa kwa shilingi 2.19.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.29 na kuuzwa kwa shilingi 631.49 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.38 na kuuzwa kwa shilingi 148.68.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2248.88 na kuuzwa kwa shilingi 2271.60.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today October 10th, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.297 631.4984 628.3977 10-Oct-22
2 ATS 147.3763 148.6822 148.0292 10-Oct-22
3 AUD 1473.0735 1488.7321 1480.9028 10-Oct-22
4 BEF 50.2715 50.7165 50.494 10-Oct-22
5 BIF 2.1989 2.2155 2.2072 10-Oct-22
6 BWP 172.249 174.4354 173.3422 10-Oct-22
7 CAD 1674.4338 1690.6851 1682.5595 10-Oct-22
8 CHF 2319.3834 2341.1587 2330.271 10-Oct-22
9 CNY 322.8584 325.858 324.3582 10-Oct-22
10 CUC 38.3435 43.5855 40.9645 10-Oct-22
11 DEM 920.2442 1046.0519 983.148 10-Oct-22
12 DKK 302.3743 305.3578 303.866 10-Oct-22
13 DZD 16.0668 16.0684 16.0676 10-Oct-22
14 ESP 12.1884 12.2959 12.2421 10-Oct-22
15 EUR 2248.8831 2271.6039 2260.2435 10-Oct-22
16 FIM 341.0736 344.096 342.5848 10-Oct-22
17 FRF 309.1595 311.8943 310.5269 10-Oct-22
18 GBP 2572.2519 2598.4383 2585.3451 10-Oct-22
19 HKD 292.571 295.493 294.032 10-Oct-22
20 INR 27.9422 28.2028 28.0725 10-Oct-22
21 ITL 1.0473 1.0566 1.052 10-Oct-22
22 JPY 15.8532 16.0084 15.9308 10-Oct-22
23 KES 19.0199 19.1783 19.0991 10-Oct-22
24 KRW 1.6289 1.6442 1.6365 10-Oct-22
25 KWD 7408.3206 7479.991 7444.1558 10-Oct-22
26 MWK 2.0784 2.2385 2.1584 10-Oct-22
27 MYR 494.1165 498.6285 496.3725 10-Oct-22
28 MZM 35.3876 35.6865 35.537 10-Oct-22
29 NAD 93.0758 93.9426 93.5092 10-Oct-22
30 NLG 920.2442 928.405 924.3246 10-Oct-22
31 NOK 215.1512 217.2336 216.1924 10-Oct-22
32 NZD 1298.5279 1311.9771 1305.2525 10-Oct-22
33 PKR 9.94 10.5437 10.2418 10-Oct-22
34 QAR 706.6626 707.5394 707.101 10-Oct-22
35 RWF 2.1464 2.1901 2.1682 10-Oct-22
36 SAR 610.8121 616.5922 613.7022 10-Oct-22
37 SDR 2956.3672 2985.9308 2971.149 10-Oct-22
38 SEK 207.1222 209.1312 208.1267 10-Oct-22
39 SGD 1607.5127 1623.4742 1615.4935 10-Oct-22
40 TRY 123.5956 124.7778 124.1867 10-Oct-22
41 UGX 0.5779 0.6064 0.5922 10-Oct-22
42 USD 2296.6535 2319.62 2308.1367 10-Oct-22
43 GOLD 3926565.4632 3967014.124 3946789.7936 10-Oct-22
44 ZAR 127.6592 128.9043 128.2818 10-Oct-22
45 ZMK 140.9525 146.3021 143.6273 10-Oct-22
46 ZWD 0.4298 0.4385 0.4341 10-Oct-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news