Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 31,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2283.22 na kuuzwa kwa shilingi 2306.98.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Oktoba 31, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2645.88 na kuuzwa kwa shilingi 2673.27 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.15 na kuuzwa kwa shilingi 2.18.


Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2296.77 na kuuzwa kwa shilingi 2319.74 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7410.38 na kuuzwa kwa shilingi 7482.07.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 27.86 na kuuzwa kwa shilingi 28.12 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.93 na kuuzwa kwa shilingi 19.09.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 208.93 na kuuzwa kwa shilingi 210.95 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 126.70 na kuuzwa kwa shilingi 127.92.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.33 na kuuzwa kwa shilingi 631.53 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.38 na kuuzwa kwa shilingi 148.69.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.22 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.86 na kuuzwa kwa shilingi 10.44.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 15.54 na kuuzwa kwa shilingi 15.69 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 316.97 na kuuzwa kwa shilingi 319.88.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today October 31st, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.3294 631.5311 628.4302 31-Oct-22
2 ATS 147.3839 148.6898 148.0369 31-Oct-22
3 AUD 1469.9343 1484.8656 1477.3999 31-Oct-22
4 BEF 50.2741 50.7191 50.4966 31-Oct-22
5 BIF 2.199 2.2156 2.2073 31-Oct-22
6 BWP 171.5689 173.7485 172.6587 31-Oct-22
7 CAD 1685.8282 1702.1867 1694.0074 31-Oct-22
8 CHF 2301.8363 2323.9231 2312.8797 31-Oct-22
9 CNY 316.9754 319.8803 318.4279 31-Oct-22
10 CUC 38.3455 43.5877 40.9666 31-Oct-22
11 DEM 920.2918 1046.106 983.1989 31-Oct-22
12 DKK 306.8992 309.8854 308.3923 31-Oct-22
13 DZD 16.3499 16.3566 16.3533 31-Oct-22
14 ESP 12.189 12.2965 12.2428 31-Oct-22
15 EUR 2283.2213 2306.9814 2295.1014 31-Oct-22
16 FIM 341.0913 344.1138 342.6025 31-Oct-22
17 FRF 309.1755 311.9104 310.543 31-Oct-22
18 GBP 2645.8817 2673.2684 2659.575 31-Oct-22
19 HKD 292.616 295.5384 294.0772 31-Oct-22
20 INR 27.8592 28.1191 27.9892 31-Oct-22
21 ITL 1.0474 1.0567 1.052 31-Oct-22
22 JPY 15.5408 15.6951 15.618 31-Oct-22
23 KES 18.9346 19.0925 19.0136 31-Oct-22
24 KRW 1.6135 1.627 1.6202 31-Oct-22
25 KWD 7410.3771 7482.0668 7446.222 31-Oct-22
26 MWK 2.0845 2.2226 2.1535 31-Oct-22
27 MYR 486.6043 490.9503 488.7773 31-Oct-22
28 MZM 35.3894 35.6883 35.5389 31-Oct-22
29 NAD 93.0836 93.8459 93.4648 31-Oct-22
30 NLG 920.2918 928.4531 924.3724 31-Oct-22
31 NOK 222.2045 224.3245 223.2645 31-Oct-22
32 NZD 1330.2905 1344.2893 1337.2899 31-Oct-22
33 PKR 9.8605 10.438 10.1493 31-Oct-22
34 QAR 726.8906 724.0901 725.4904 31-Oct-22
35 RWF 2.1465 2.1802 2.1634 31-Oct-22
36 SAR 611.1688 617.0834 614.1261 31-Oct-22
37 SDR 2963.732 2993.3693 2978.5506 31-Oct-22
38 SEK 208.9304 210.9526 209.9415 31-Oct-22
39 SGD 1625.5731 1641.7127 1633.6429 31-Oct-22
40 TRY 123.4286 124.596 124.0123 31-Oct-22
41 UGX 0.5806 0.6091 0.5948 31-Oct-22
42 USD 2296.7723 2319.74 2308.2561 31-Oct-22
43 GOLD 3769531.5646 3808409.9476 3788970.7561 31-Oct-22
44 ZAR 126.7024 127.92 127.3112 31-Oct-22
45 ZMK 138.3254 141.9583 140.1418 31-Oct-22
46 ZWD 0.4298 0.4385 0.4341 31-Oct-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news