Waziri Masauni ateta na Kamishna Mkuu wa UNHCR

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akifurahi jambo na Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania, nchini Uswisi, Maimuna Tarishi (katikati) na Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Sudi Mwakibasi, wakati alipokuwa anatoka kuzungumza na Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Filippo Grandi katika Kikao cha 73 cha Kamati Tendaji ya Shirika hilo jijini Geneva, nchini Uswisi, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akizungumza na Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Filippo Grandi, Ukumbi wa Mikutano wa Umoja wa Mataifa katika Kikao cha 73 cha Kamati Tendaji ya Shirika hilo jijini Geneva, nchini Uswisi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (Wapili kulia) akimsikiliza Msaidizi wa Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Gillian Triggs, akizungumzia masuala ya Wakimbizi, katika ukumbi mdogo wa Mikutano wa Umoja wa Mataifa wakati wa Kikao cha 73 cha Kamati Tendaji ya Shirika hilo jijini Geneva, nchini Uswisi, leo. Kulia ni Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania, nchini Uswisi, Maimuna Tarishi na watatu kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Sudi Mwakibasi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (Wapili kulia) akizungumza na Msaidizi wa Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Gillian Triggs, kuhusu masuala ya Wakimbizi katika ukumbi mdogo wa Mikutano wa Umoja wa Mataifa wakati wa Kikao cha 73 cha Kamati Tendaji ya Shirika hilo jijini Geneva, nchini Uswisi, leo. Wapili kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Sudi Mwakibasi.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news