WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano huu muhimu na maalum unaofanyika leo Novemba 9, 2022 (Jumatano) kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.
Mada; Tathmini ya Miaka miwili ya Dkt. Hussein Ali Mwinyi madarakani
Shiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3sZKMiz
Au kupitia
Meeting ID: 871 3683 0196
Passcode: 590101

Mkutano Huu umedhaminiwa na Benki ya NMB.
Karibu.