Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga, amewatunuku wahitimu 36 wa Chuo cha Benki Kuu ya Tanzania Stashahada ya Uendeshaji na Usimamizi wa Mabenki katika mahafali ya kwanza ya Chuo hicho yaliyofanyika tarehe 25 Novemba 2022 jijini Mwanza.