Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia leo Novemba 13, 2022 ameongeoza kikao cha kawaida cha Kamati ya Utendaji kilichofanyika jijini Mwanza.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia akiwa kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF leo jijini Mwanza.(Picha na TFF).