Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 17,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 17, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2727.11 na kuuzwa kwa shilingi 2755.31 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.17 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 219.82 na kuuzwa kwa shilingi 221.95 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 132.99 na kuuzwa kwa shilingi 134.28.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.36 na kuuzwa kwa shilingi 631.58 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.39 na kuuzwa kwa shilingi 148.69.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2391.53 na kuuzwa kwa shilingi 2416.38.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.83 na kuuzwa kwa shilingi 10.43.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.45 na kuuzwa kwa shilingi 16.61 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 324.22 na kuuzwa kwa shilingi 327.39.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.26 na kuuzwa kwa shilingi 28.54 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.83 na kuuzwa kwa shilingi 19.99.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2296.90 na kuuzwa kwa shilingi 2319.87 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7467.41 na kuuzwa kwa shilingi 7531.80.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 17th, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.3644 631.5837 628.474 17-Nov-22
2 ATS 147.3922 148.6982 148.0452 17-Nov-22
3 AUD 1553.8535 1569.856 1561.8548 17-Nov-22
4 BEF 50.2769 50.722 50.4994 17-Nov-22
5 BIF 2.1992 2.2157 2.2074 17-Nov-22
6 BWP 177.3208 179.5579 178.4393 17-Nov-22
7 CAD 1732.5948 1749.393 1740.9939 17-Nov-22
8 CHF 2438.8416 2462.9685 2450.905 17-Nov-22
9 CNY 324.2196 327.3878 325.8037 17-Nov-22
10 CUC 38.3476 43.5902 40.9689 17-Nov-22
11 DEM 920.3434 1046.1646 983.254 17-Nov-22
12 DKK 321.6272 324.8117 323.2195 17-Nov-22
13 DZD 17.3254 17.381 17.3532 17-Nov-22
14 ESP 12.1897 12.2972 12.2434 17-Nov-22
15 EUR 2391.5333 2416.3766 2403.955 17-Nov-22
16 FIM 341.1104 344.1331 342.6217 17-Nov-22
17 FRF 309.1929 311.9279 310.5604 17-Nov-22
18 GBP 2727.1105 2755.3096 2741.2101 17-Nov-22
19 HKD 293.6237 296.5524 295.0881 17-Nov-22
20 INR 28.2591 28.5382 28.3987 17-Nov-22
21 ITL 1.0475 1.0567 1.0521 17-Nov-22
22 JPY 16.4499 16.6108 16.5304 17-Nov-22
23 KES 18.8348 18.992 18.9134 17-Nov-22
24 KRW 1.7356 1.752 1.7438 17-Nov-22
25 KWD 7467.4111 7531.8009 7499.606 17-Nov-22
26 MWK 2.0787 2.2387 2.1587 17-Nov-22
27 MYR 505.9253 509.3019 507.6136 17-Nov-22
28 MZM 35.3914 35.6903 35.5408 17-Nov-22
29 NAD 100.3123 101.2497 100.781 17-Nov-22
30 NLG 920.3434 928.5051 924.4242 17-Nov-22
31 NOK 230.5084 232.7201 231.6142 17-Nov-22
32 NZD 1416.7285 1431.1278 1423.9282 17-Nov-22
33 PKR 9.8291 10.4264 10.1277 17-Nov-22
34 QAR 745.8458 753.352 749.5989 17-Nov-22
35 RWF 2.1667 2.2241 2.1954 17-Nov-22
36 SAR 611.203 617.2822 614.2426 17-Nov-22
37 SDR 3022.6528 3052.8793 3037.7661 17-Nov-22
38 SEK 219.8244 221.9483 220.8863 17-Nov-22
39 SGD 1678.2851 1694.8203 1686.5527 17-Nov-22
40 TRY 123.4137 124.6224 124.018 17-Nov-22
41 UGX 0.5889 0.618 0.6035 17-Nov-22
42 USD 2296.901 2319.87 2308.3855 17-Nov-22
43 GOLD 4089632.2129 4130946.1116 4110289.1622 17-Nov-22
44 ZAR 132.9933 134.2867 133.64 17-Nov-22
45 ZMK 135.2603 140.4229 137.8416 17-Nov-22
46 ZWD 0.4298 0.4385 0.4342 17-Nov-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news