Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 24,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 24, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2741.90 na kuuzwa kwa shilingi 2770.25 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.11 na kuuzwa kwa shilingi 2.16.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.09 na kuuzwa kwa shilingi 28.36 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.79 na kuuzwa kwa shilingi 18.95.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2296.98 na kuuzwa kwa shilingi 2319.95 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7464.27 na kuuzwa kwa shilingi 7528.64.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.75 na kuuzwa kwa shilingi 10.31.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.25 na kuuzwa kwa shilingi 16.41 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 320.63 na kuuzwa kwa shilingi 323.77.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.39 na kuuzwa kwa shilingi 631.60 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.39 na kuuzwa kwa shilingi 148.70.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 217.36 na kuuzwa kwa shilingi 219.47 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 133.87 na kuuzwa kwa shilingi 135.15.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2369.79 na kuuzwa kwa shilingi 2394.42.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 24th, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.386 631.6055 628.4957 24-Nov-22
2 ATS 147.3973 148.7033 148.0503 24-Nov-22
3 AUD 1527.0324 1542.5348 1534.7836 24-Nov-22
4 BEF 50.2787 50.7237 50.5012 24-Nov-22
5 BIF 2.1992 2.2158 2.2075 24-Nov-22
6 BWP 177.3269 179.5641 178.4455 24-Nov-22
7 CAD 1711.2271 1728.2107 1719.7189 24-Nov-22
8 CHF 2418.383 2441.0248 2429.7039 24-Nov-22
9 CNY 320.6282 323.7667 322.1974 24-Nov-22
10 CUC 38.349 43.5917 40.9703 24-Nov-22
11 DEM 920.3751 1046.2007 983.2879 24-Nov-22
12 DKK 318.7461 321.8889 320.3175 24-Nov-22
13 DZD 17.1505 17.1525 17.1515 24-Nov-22
14 ESP 12.1901 12.2976 12.2439 24-Nov-22
15 EUR 2369.7945 2394.4204 2382.1074 24-Nov-22
16 FIM 341.1222 344.145 342.6336 24-Nov-22
17 FRF 309.2035 311.9386 310.5711 24-Nov-22
18 GBP 2741.9053 2770.2523 2756.0788 24-Nov-22
19 HKD 293.8179 296.7523 295.2851 24-Nov-22
20 INR 28.0966 28.3585 28.2275 24-Nov-22
21 ITL 1.0475 1.0568 1.0521 24-Nov-22
22 JPY 16.2549 16.414 16.3344 24-Nov-22
23 KES 18.7969 18.9538 18.8754 24-Nov-22
24 KRW 1.6972 1.714 1.7056 24-Nov-22
25 KWD 7464.2713 7528.6387 7496.455 24-Nov-22
26 MWK 2.0788 2.2388 2.1588 24-Nov-22
27 MYR 502.4016 506.7606 504.5811 24-Nov-22
28 MZM 35.3926 35.6915 35.5421 24-Nov-22
29 NAD 99.7707 100.6096 100.1901 24-Nov-22
30 NLG 920.3751 928.5371 924.4561 24-Nov-22
31 NOK 228.6121 230.7995 229.7058 24-Nov-22
32 NZD 1416.5477 1431.6411 1424.0944 24-Nov-22
33 PKR 9.7504 10.3109 10.0306 24-Nov-22
34 QAR 749.2568 756.7961 753.0265 24-Nov-22
35 RWF 2.1073 2.1645 2.1359 24-Nov-22
36 SAR 611.1428 617.09 614.1164 24-Nov-22
37 SDR 3002.7503 3032.7778 3017.7641 24-Nov-22
38 SEK 217.3565 219.4699 218.4132 24-Nov-22
39 SGD 1659.3081 1674.9332 1667.1207 24-Nov-22
40 TRY 123.3152 124.5216 123.9184 24-Nov-22
41 UGX 0.5904 0.6195 0.6049 24-Nov-22
42 USD 2296.9802 2319.95 2308.4651 24-Nov-22
43 GOLD 3989831.6342 4030101.1425 4009966.3883 24-Nov-22
44 ZAR 133.866 135.1511 134.5086 24-Nov-22
45 ZMK 132.5444 137.7643 135.1543 24-Nov-22
46 ZWD 0.4298 0.4385 0.4342 24-Nov-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news