Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 9,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2629.16 na kuuzwa kwa shilingi 2657.08 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.15 na kuuzwa kwa shilingi 2.17.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 9, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2295.43 na kuuzwa kwa shilingi 2318.62.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2296.81 na kuuzwa kwa shilingi 2319.78 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7426.56 na kuuzwa kwa shilingi 7498.4.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.86 na kuuzwa kwa shilingi 10.46.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.34 na kuuzwa kwa shilingi 631.56 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.39 na kuuzwa kwa shilingi 148.69.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.15 na kuuzwa kwa shilingi 28.42 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.89 na kuuzwa kwa shilingi 19.04.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 211.61 na kuuzwa kwa shilingi 213.67 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 128.76 na kuuzwa kwa shilingi 129.94.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 15.68 na kuuzwa kwa shilingi 15.83 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 316.77 na kuuzwa kwa shilingi 319.71.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 9th, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.3402 631.5592 628.4497 09-Nov-22
2 ATS 147.3865 148.6924 148.0394 09-Nov-22
3 AUD 1485.3482 1500.6657 1493.007 09-Nov-22
4 BEF 50.275 50.72 50.4975 09-Nov-22
5 BIF 2.1991 2.2156 2.2074 09-Nov-22
6 BWP 172.9499 175.1434 174.0467 09-Nov-22
7 CAD 1702.2248 1718.7375 1710.4811 09-Nov-22
8 CHF 2318.1388 2340.1392 2329.139 09-Nov-22
9 CNY 316.7667 319.7139 318.2403 09-Nov-22
10 CUC 38.3462 43.5885 40.9673 09-Nov-22
11 DEM 920.3077 1046.124 983.2158 09-Nov-22
12 DKK 308.6325 311.6769 310.1547 09-Nov-22
13 DZD 16.4071 16.5032 16.4552 09-Nov-22
14 ESP 12.1892 12.2967 12.243 09-Nov-22
15 EUR 2295.4338 2318.6201 2307.027 09-Nov-22
16 FIM 341.0972 344.1197 342.6085 09-Nov-22
17 FRF 309.1809 311.9158 310.5483 09-Nov-22
18 GBP 2629.1606 2657.076 2643.1183 09-Nov-22
19 HKD 292.5912 295.5134 294.0523 09-Nov-22
20 INR 28.1513 28.4259 28.2886 09-Nov-22
21 ITL 1.0474 1.0567 1.0521 09-Nov-22
22 JPY 15.68 15.8336 15.7568 09-Nov-22
23 KES 18.8883 19.0458 18.967 09-Nov-22
24 KRW 1.6656 1.6806 1.6731 09-Nov-22
25 KWD 7426.5589 7498.4 7462.4795 09-Nov-22
26 MWK 2.0786 2.2386 2.1586 09-Nov-22
27 MYR 485.1736 489.5083 487.341 09-Nov-22
28 MZM 35.39 35.6889 35.5395 09-Nov-22
29 NAD 95.4296 96.3013 95.8654 09-Nov-22
30 NLG 920.3077 928.4691 924.3884 09-Nov-22
31 NOK 223.2841 225.4161 224.3501 09-Nov-22
32 NZD 1359.9423 1374.4697 1367.206 09-Nov-22
33 PKR 9.862 10.4612 10.1616 09-Nov-22
34 QAR 716.3535 723.7623 720.0579 09-Nov-22
35 RWF 2.1466 2.1743 2.1604 09-Nov-22
36 SAR 610.9842 617.012 613.9981 09-Nov-22
37 SDR 2957.2601 2986.8327 2972.0464 09-Nov-22
38 SEK 211.6097 213.6668 212.6382 09-Nov-22
39 SGD 1636.7219 1652.5004 1644.6111 09-Nov-22
40 TRY 123.4381 124.6523 124.0452 09-Nov-22
41 UGX 0.5841 0.6129 0.5985 09-Nov-22
42 USD 2296.8119 2319.78 2308.2959 09-Nov-22
43 GOLD 3837444.3867 3876166.7976 3856805.5922 09-Nov-22
44 ZAR 128.7624 129.9407 129.3516 09-Nov-22
45 ZMK 136.8494 142.0563 139.4528 09-Nov-22
46 ZWD 0.4298 0.4385 0.4341 09-Nov-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news