Waziri Mkuu akagua ujenzi wa madarasa Shule ya Sekondari Mwandege

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kukagua ujenzi wa madarasa katika Shule ya Sekondari Mwandege wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Nevemba 27, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa madarasa ya Shule ya Sekondari Mwandege wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Novemba 27, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipanda mti baada ya kukagua ujenzi wa madarasa ya Shule ya Sekondari Mwandege. Wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Novemba 27, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge.( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kukagua ujenzi wa madarasa katika Shule ya Sekondari Mwandege wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Nevemba 27, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge wakati alipowasili kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Mwandege wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani kukagua ujenzi wa Madarasa na kuzungumza na wananchi, Novemba 27, 2022. Kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange na wa pili kushoto. Ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Shaaban Mlao. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Mwandege wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani kukagua ujenzi wa madarasa na kuzungumza na wananchi akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Pwani, Nevemba 27, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news