Waziri Mkuu aongoza kikao kuhusu nishati safi ya kupikia


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongoza kikao cha Wizara Mtambuka kuhusu nishati safi ya kupikia kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam lwo Novemba 25, 2022. Kulia wake ni Waziri wa Nishati, January Makamba na kushoto kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news