Muonekano wa mbele wa jengo jipya la Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jijini Zanzibar linalojengwa katika eneo la Lumumba Wilaya ya Mjini Unguja, likiendelea na ujenzi wake katika hatua za mwisho za ujenzi huo.
Muonekanao wa nyuma wa jengo jipya la Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linalojengwa katika eneo la Lumumba Wilaya ya Mjini Unguja, likiendelea na ujenzi wake katika hatua za mwisho za ujenzi huo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, kutoka kwa Waziri wa Afya Zanzibar, Mhe. Nassor Ahmed Mazrui wakati wa ziara ya Mheshimiwa Rais siku ya Novemba 19, 2022. Hospitali hiyo inajengwa katika eneo la Lumumba Wilaya ya Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akitembelea ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi inayojengwa katika eneo la Lumumba Wilaya ya Mjini Unguja, akiwa katika ziara yake kutembelea ujenzi huo na kujionea hatua iliyofikia
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika jengo la Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi, wakati wa ziara yake Novemba 19,2022 ya kutembelea ujenzi huo na kujionea hatua iliyofikia na kushoto kwa Rais ni Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja,Mhe. Rashid Simai Msaraka.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kutoka kwa Mshauri elekezi wa kampuni ya Habconsult Ltd. Arch.Habib Shariff Nuru, wakati wa ziara yake kutembelea ujenzi wa jengo jipya la Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi linalojengwa katika eneo la Lumumba Wilaya ya Mjini na (kushoto kwa Rais) ni Naibu Waziri wa Afya Zanzibar, Mhe. Hassan Khamis Hafidh na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Mjini, Mhe.Rashid Simai Msaraka.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akitembelea jengo jipya la Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linalojengwa katika eneo la Lumumba Wilaya ya Mjini, kujionea maendeleo ya ujenzi huo wakati wa ziara yake, akipata maelezo ya ujenzi kutoka kwa Mshauri Elekezi wa Kampuni ya Habconsult Ltd, Arch.Habib Shariff Nuru (kulia kwa Rais).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Afya Zanzibar, Mhe.Nassor Ahmed Mazrui, wakati wa ziara yake ya kukagua ujenzi wa jengo jipya la Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, linalojengwa katika eneo la viwanja vya Lumumba Wilaya ya Mjini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui, wakati wa ziara yake ya kukagua ujenzi wa jengo jipya la Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, linalojengwa katika eneo la viwanja vya Lumumba Wilaya ya Mjini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilivyopo Unguja baada ya kumaliza ziara yake kutembelea na kukagua ujenzi wa jengo jipya la Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na (kulia kwa Rais) ni Waziri wa Afya Zanzibar, Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar, Mhe. Hassan Khamis Hafidh.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali viliopo Unguja baada ya kumaliza ziara yake ya kutembelea na kukagua ujenzi wa jengo jipya la Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.