Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam umewatangazia watumiaji wa Daraja la Tanzanite kuwa, daraja hilo litafungwa siku ya Jumatatu ya Januari 2, 2023 kuanzia saa 12 asubuhi na litafunguliwa siku ya Jumatatu ya Januari 9, 2023 saa 12 asubuhi.