Kamishna Jenerali wa Uhamiaji nchini, CGI Dkt.Anna Makakala ametangaza nafasi 500 za ajira kwa vijana wa Kitanzania waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) au Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) walioko makambini na nje ya makambi kama ifuatavyo;