🔴LIVE:KONGAMANO LA MAENDELEO YA SEKTA YA HABARI 2022
Kongamano la Kwanza la Maendeleo ya Sekta ya Habari 2022 nchini Tanzania linalofanyika Desemba 17, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (The Julius Nyerere International Convention Centre-JNICC) jijini humo;