Maafisa Viungo wa Afya Moja wafanya tathimini

Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Dkt. Andrew Yona Kitua akiongoza Mkutano wa Maafisa Viungo wa Afya Moja kwa ajili ya Tathimini ya Utekelezaji wa Shughuli za Afya Moja kwa mwaka 2022 walipokutana katika Ukumbi wa Mikutano wa Edema Mkoani Morogoro tarehe 14 Disemba, 2022.Mhadhili Idara ya Tiba na Mifugo na Afya ya Jamii SUA Dkt. Janeth George akieleza kuhusu masuala ya umuhimu wa Mkakati wa Mawasiliano kuhusu masuala ya Afya Moja ili kuhabarisha umma kwa ufanisi wakati wa mkutano huo.Mhadhiri Idara ya Tiba na Mifugo na Afya ya Jamii SUA, Dkt. Janeth George akieleza kuhusu masuala ya umuhimu wa Mkakati wa Mawasiliano kuhusu masuala ya Afya Moja ili kuhabarisha umma kwa ufanisi wakati wa mkutano huo.Mtaalam wa Epidemiolojia kutoka Shirikia la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) Dkt. Niwael Mtui akifafanua jambo wakati wa mkutano huo.Mtaalam Mshauri wa Afya Moja kutoka Taasisi ya RBA Initiative (Roll Back Antimicrobial Resistance Initiative) Bw. Harrison Chinyuka akifuatilia mkutano wa wadau wa Afya Moja.
Wajumbe wa mkutano wa wadau wa Afya Moja wakiwa katika kazi za makundi wakati wa mkutano wao wa kufanya Tathimini ya Utekelezajiwa shughuli za Afya Moja kwa Mwaka 2022.(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news