Matukio katika picha yakionesha Mkutano wa kufungua kikao kazi cha Maofisa Viungo wa Afya Moja (One Health Detect-TZ Project) cha uundwaji Jukwaa la Afya Moja la kidijitali ili kuimarisha uwezo wa Kitaifa kubaini viashiria vya milipuko ya magonjwa na matukio mengine uliofanyika mkoani Morogoro.