Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dkt.Hussein Ali Mwinyi alipofika kuifariji familia ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Bi.Yasmin Alloo nyumbani kwao Kiponda kwa kufiwa na shangazi yake, Bi.Zainab Esmail Hasham Alloo, mwanzoni mwa mwezi huu.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kulia) pamoja na familia ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Bi.Yasmin Alloo wakiitikia dua iliyosomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Saleh Omar Kabi (kushoto) leo nyumbani kwao Kiponda kwa kufiwa na shangazi yake, Bi.Zainab Esmail Hasham Alloo, mwanzoni mwa mwezi huu.