Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kubadilishana mawazo na Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Ofisi ya Tanzania, Dkt. Patricia Laverley kulia kwa Rais na kushoto kwa Rais ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum, baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo Desemba 3, 2022.(Picha na Ikulu).


Tags
Habari
Ikulu Zanzibar
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
The African Development Bank Group (AfDB)
Zanzibar
Zanzibar Mpya