Jukumu kuu la DART ni kuanzisha na kuendesha mfumo wa Usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka kwa jiji la Dar es Salaam. Wakala inakusudia kufikia malengo yafuatayo:
a)Kuanzisha na kuendesha mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka kwa ajili ya Dar es Salaam, yatakayotumia jina la DART;
b)Kuhakikisha mtiririko bora wa usafiri kwenye mitaa na barabaraza mjini, na
c) Kuhakikisha usimamizi wa wakala wenye ufanisi.