Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 1,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2297.06 na kuuzwa kwa shilingi 2320.03 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7464.77 na kuuzwa kwa shilingi 7536.97.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 1, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 217.77 na kuuzwa kwa shilingi 219.89 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 135.55 na kuuzwa kwa shilingi 136.84.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.22 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.72 na kuuzwa kwa shilingi 10.31.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2756.24 na kuuzwa kwa shilingi 2784.73 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.11 na kuuzwa kwa shilingi 2.16.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.26 na kuuzwa kwa shilingi 28.52 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.77 na kuuzwa kwa shilingi 18.93.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2380.21 na kuuzwa kwa shilingi 2404.94.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.57 na kuuzwa kwa shilingi 16.73 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 324.75 na kuuzwa kwa shilingi 327.77.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.45 na kuuzwa kwa shilingi 631.54 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.40 na kuuzwa kwa shilingi 148.71.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 1st, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.4587 631.5413 628.5 01-Dec-22
2 ATS 147.4024 148.7084 148.0554 01-Dec-22
3 AUD 1546.3804 1562.0762 1554.2283 01-Dec-22
4 BEF 50.2804 50.7254 50.5029 01-Dec-22
5 BIF 2.1993 2.2159 2.2076 01-Dec-22
6 CAD 1699.3855 1715.7447 1707.5651 01-Dec-22
7 CHF 2418.2119 2441.3659 2429.7889 01-Dec-22
8 CNY 324.7554 327.7712 326.2633 01-Dec-22
9 DEM 920.4069 1046.2368 983.3218 01-Dec-22
10 DKK 320.1432 323.2996 321.7214 01-Dec-22
11 ESP 12.1905 12.2981 12.2443 01-Dec-22
12 EUR 2380.2129 2404.9431 2392.578 01-Dec-22
13 FIM 341.1339 344.1569 342.6454 01-Dec-22
14 FRF 309.2142 311.9494 310.5818 01-Dec-22
15 GBP 2756.2416 2784.732 2770.4868 01-Dec-22
16 HKD 294.476 297.4016 295.9388 01-Dec-22
17 INR 28.261 28.5244 28.3927 01-Dec-22
18 ITL 1.0475 1.0568 1.0522 01-Dec-22
19 JPY 16.5661 16.7306 16.6484 01-Dec-22
20 KES 18.7745 18.9313 18.8529 01-Dec-22
21 KRW 1.7485 1.7641 1.7563 01-Dec-22
22 KWD 7464.7712 7536.9696 7500.8704 01-Dec-22
23 MWK 2.0839 2.2221 2.153 01-Dec-22
24 MYR 517.0064 521.1208 519.0636 01-Dec-22
25 MZM 35.3938 35.6928 35.5433 01-Dec-22
26 NLG 920.4069 928.5691 924.488 01-Dec-22
27 NOK 231.8412 234.0888 232.965 01-Dec-22
28 NZD 1433.8245 1448.6267 1441.2256 01-Dec-22
29 PKR 9.7203 10.3113 10.0158 01-Dec-22
30 RWF 2.1073 2.1613 2.1343 01-Dec-22
31 SAR 611.1151 617.0621 614.0886 01-Dec-22
32 SDR 3018.9103 3049.0995 3034.0049 01-Dec-22
33 SEK 217.7741 219.8872 218.8307 01-Dec-22
34 SGD 1681.2263 1697.4173 1689.3218 01-Dec-22
35 UGX 0.5901 0.6186 0.6044 01-Dec-22
36 USD 2297.0594 2320.03 2308.5447 01-Dec-22
37 GOLD 4046476.879 4087660.857 4067068.868 01-Dec-22
38 ZAR 135.5533 136.8435 136.1984 01-Dec-22
39 ZMW 131.0675 136.0721 133.5698 01-Dec-22
40 ZWD 0.4299 0.4385 0.4342 01-Dec-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news