Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 16,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.49 na kuuzwa kwa shilingi 631.61 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.41 na kuuzwa kwa shilingi 148.72.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 16, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2833.87 na kuuzwa kwa shilingi 2864.07 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.12 na kuuzwa kwa shilingi 2.19.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.71 na kuuzwa kwa shilingi 10.31.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.63 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2297.24 na kuuzwa kwa shilingi 2320.21 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7494.82 na kuuzwa kwa shilingi 7567.30.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 27.76 na kuuzwa kwa shilingi 28.02 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.68 na kuuzwa kwa shilingi 18.84.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.79 na kuuzwa kwa shilingi 16.96 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 329.75 na kuuzwa kwa shilingi 332.88.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 224.20 na kuuzwa kwa shilingi 226.38 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 133.11 na kuuzwa kwa shilingi 134.32.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2438.75 na kuuzwa kwa shilingi 2464.06.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 16th, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.4901 631.6075 628.5488 16-Dec-22
2 ATS 147.4138 148.72 148.0669 16-Dec-22
3 AUD 1553.8515 1570.3181 1562.0848 16-Dec-22
4 BEF 50.2842 50.7294 50.5068 16-Dec-22
5 BIF 2.1995 2.2161 2.2078 16-Dec-22
6 CAD 1692.3808 1708.801 1700.5909 16-Dec-22
7 CHF 2475.4715 2498.8799 2487.1757 16-Dec-22
8 CNY 329.7502 332.8852 331.3177 16-Dec-22
9 DEM 920.4783 1046.3179 983.3981 16-Dec-22
10 DKK 327.9238 331.1558 329.5398 16-Dec-22
11 ESP 12.1915 12.299 12.2452 16-Dec-22
12 EUR 2438.7474 2464.063 2451.4052 16-Dec-22
13 FIM 341.1604 344.1836 342.672 16-Dec-22
14 FRF 309.2382 311.9736 310.6059 16-Dec-22
15 GBP 2833.8724 2864.0672 2848.9698 16-Dec-22
16 HKD 295.4571 298.3809 296.919 16-Dec-22
17 INR 27.7645 28.0235 27.894 16-Dec-22
18 ITL 1.0476 1.0569 1.0523 16-Dec-22
19 JPY 16.7964 16.9606 16.8785 16-Dec-22
20 KES 18.6843 18.8405 18.7624 16-Dec-22
21 KRW 1.7518 1.7684 1.7601 16-Dec-22
22 KWD 7494.8211 7567.3005 7531.0608 16-Dec-22
23 MWK 2.079 2.239 2.159 16-Dec-22
24 MYR 520.3256 524.9344 522.63 16-Dec-22
25 MZM 35.3966 35.6956 35.5461 16-Dec-22
26 NLG 920.4783 928.6412 924.5597 16-Dec-22
27 NOK 234.9178 237.1942 236.056 16-Dec-22
28 NZD 1464.2593 1479.8299 1472.0446 16-Dec-22
29 PKR 9.7102 10.312 10.0111 16-Dec-22
30 RWF 2.1172 2.1868 2.152 16-Dec-22
31 SAR 611.0487 617.0115 614.0301 16-Dec-22
32 SDR 3064.2853 3094.9281 3079.6067 16-Dec-22
33 SEK 224.2017 226.3774 225.2895 16-Dec-22
34 SGD 1695.8789 1712.2057 1704.0423 16-Dec-22
35 UGX 0.5994 0.629 0.6142 16-Dec-22
36 USD 2297.2376 2320.21 2308.7238 16-Dec-22
37 GOLD 4084465.5226 4126493.485 4105479.5038 16-Dec-22
38 ZAR 133.1107 134.3251 133.7179 16-Dec-22
39 ZMW 126.7892 131.8676 129.3284 16-Dec-22
40 ZWD 0.4299 0.4385 0.4342 16-Dec-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news