Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 21,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.36 na kuuzwa kwa shilingi 17.52 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 329.75 na kuuzwa kwa shilingi 332.81.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 21, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 221.14 na kuuzwa kwa shilingi 223.92 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 132.24 na kuuzwa kwa shilingi 133.51.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2442.92 na kuuzwa kwa shilingi 2467.82.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2795.79 na kuuzwa kwa shilingi 2824.90 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.14 na kuuzwa kwa shilingi 2.19.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2297.28 na kuuzwa kwa shilingi 2320.25 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7505.72 na kuuzwa kwa shilingi 7578.31.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.23 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.69 na kuuzwa kwa shilingi 10.22.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.60 na kuuzwa kwa shilingi 0.63 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.57 na kuuzwa kwa shilingi 631.67 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.42 na kuuzwa kwa shilingi 148.72.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 27.77 na kuuzwa kwa shilingi 28.03 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.67 na kuuzwa kwa shilingi 18.82.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 21st, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Sarafu Kununua Kuuza Wastani Tarehe ya biashara
1 AED 625.5861 631.6699 628.628 21-Dec-22
2 ATS 147.4163 148.7225 148.0694 21-Dec-22
3 AUD 1533.6623 1549.463 1541.5626 21-Dec-22
4 BEF 50.2851 50.7303 50.5077 21-Dec-22
5 BIF 2.1995 2.2161 2.2078 21-Dec-22
6 CAD 1687.1895 1703.5609 1695.3752 21-Dec-22
7 CHF 2479.7897 2503.5067 2491.6482 21-Dec-22
8 CNY 329.7512 332.8098 331.2805 21-Dec-22
9 DEM 920.4941 1046.336 983.4151 21-Dec-22
10 DKK 328.464 331.7012 330.0826 21-Dec-22
11 ESP 12.1917 12.2992 12.2455 21-Dec-22
12 EUR 2442.9247 2467.8179 2455.3713 21-Dec-22
13 FIM 341.1663 344.1895 342.6779 21-Dec-22
14 FRF 309.2435 311.9789 310.6112 21-Dec-22
15 GBP 2795.7864 2824.9044 2810.3454 21-Dec-22
16 HKD 295.1622 298.1062 296.6342 21-Dec-22
17 INR 27.7754 28.0346 27.905 21-Dec-22
18 ITL 1.0476 1.0569 1.0523 21-Dec-22
19 JPY 17.3563 17.5259 17.4411 21-Dec-22
20 KES 18.6695 18.8256 18.7475 21-Dec-22
21 KRW 1.7898 1.8048 1.7973 21-Dec-22
22 KWD 7505.7249 7578.3061 7542.0155 21-Dec-22
23 MWK 2.0882 2.2264 2.1573 21-Dec-22
24 MYR 518.5727 522.9321 520.7524 21-Dec-22
25 MZM 35.3972 35.6962 35.5467 21-Dec-22
26 NLG 920.4941 928.6572 924.5757 21-Dec-22
27 NOK 233.0889 235.3243 234.2066 21-Dec-22
28 NZD 1459.0007 1474.5189 1466.7598 21-Dec-22
29 PKR 9.6888 10.2214 9.9551 21-Dec-22
30 RWF 2.1418 2.198 2.1699 21-Dec-22
31 SAR 610.6532 616.5958 613.6245 21-Dec-22
32 SDR 3057.2165 3087.7887 3072.5026 21-Dec-22
33 SEK 221.1408 223.2878 222.2143 21-Dec-22
34 SGD 1700.3014 1716.9232 1708.6123 21-Dec-22
35 UGX 0.6059 0.6357 0.6208 21-Dec-22
36 USD 2297.2772 2320.25 2308.7636 21-Dec-22
37 GOLD 4152190.7525 4194107.1025 4173148.9275 21-Dec-22
38 ZAR 132.2433 133.5065 132.8749 21-Dec-22
39 ZMW 125.1887 130.2048 127.6968 21-Dec-22
40 ZWD 0.4299 0.4385 0.4342 21-Dec-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news