Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 22,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.63 na kuuzwa kwa shilingi 631.71 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.42 na kuuzwa kwa shilingi 148.72.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 22, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.41 na kuuzwa kwa shilingi 17.59 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 329.41 na kuuzwa kwa shilingi 332.56.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 220.55 na kuuzwa kwa shilingi 222.69 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 132.65 na kuuzwa kwa shilingi 133.94.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2439.97 na kuuzwa kwa shilingi 2465.29.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2781.12 na kuuzwa kwa shilingi 2809.63 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.14 na kuuzwa kwa shilingi 2.19.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2297.31 na kuuzwa kwa shilingi 2320.28 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7501.65 na kuuzwa kwa shilingi 7574.19.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 27.74 na kuuzwa kwa shilingi 27.99 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.67 na kuuzwa kwa shilingi 18.82.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.68 na kuuzwa kwa shilingi 10.22.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.61 na kuuzwa kwa shilingi 0.64 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 22nd, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.6282 631.7125 628.6704 22-Dec-22
2 ATS 147.4182 148.7245 148.0714 22-Dec-22
3 AUD 1535.52 1552.0353 1543.7776 22-Dec-22
4 BEF 50.2858 50.7309 50.5084 22-Dec-22
5 BIF 2.1995 2.2161 2.2078 22-Dec-22
6 BWP 178.0413 180.2858 179.1635 22-Dec-22
7 CAD 1685.602 1701.9585 1693.7802 22-Dec-22
8 CHF 2482.2333 2505.9726 2494.1029 22-Dec-22
9 CNY 329.415 332.5565 330.9857 22-Dec-22
10 CUC 38.3544 43.5979 40.9762 22-Dec-22
11 DEM 920.506 1046.3495 983.4278 22-Dec-22
12 DKK 328.0555 331.3077 329.6816 22-Dec-22
13 DZD 17.8435 17.8501 17.8468 22-Dec-22
14 ESP 12.1918 12.2994 12.2456 22-Dec-22
15 EUR 2439.9697 2465.2975 2452.6336 22-Dec-22
16 FIM 341.1707 344.1939 342.6823 22-Dec-22
17 FRF 309.2475 311.983 310.6153 22-Dec-22
18 GBP 2781.1198 2809.6271 2795.3734 22-Dec-22
19 HKD 294.8478 297.7849 296.3163 22-Dec-22
20 INR 27.7386 27.9973 27.8679 22-Dec-22
21 ITL 1.0476 1.0569 1.0523 22-Dec-22
22 JPY 17.417 17.5872 17.5021 22-Dec-22
23 KES 18.6697 18.8258 18.7478 22-Dec-22
24 KRW 1.7859 1.8016 1.7938 22-Dec-22
25 KWD 7501.6553 7574.1986 7537.927 22-Dec-22
26 MWK 2.0791 2.2391 2.1591 22-Dec-22
27 MYR 518.1116 522.4679 520.2898 22-Dec-22
28 MZM 35.3976 35.6966 35.5471 22-Dec-22
29 NAD 97.3436 98.2485 97.796 22-Dec-22
30 NLG 920.506 928.6692 924.5876 22-Dec-22
31 NOK 233.894 236.144 235.019 22-Dec-22
32 NZD 1445.925 1461.5444 1453.7347 22-Dec-22
33 PKR 9.6782 10.2215 9.9499 22-Dec-22
34 QAR 764.0439 766.255 765.1494 22-Dec-22
35 RWF 2.14 2.1983 2.1691 22-Dec-22
36 SAR 610.8234 616.7677 613.7956 22-Dec-22
37 SDR 3057.2561 3087.8286 3072.5423 22-Dec-22
38 SEK 220.5492 222.6991 221.6242 22-Dec-22
39 SGD 1699.5686 1715.549 1707.5588 22-Dec-22
40 TRY 123.0876 124.2799 123.6837 22-Dec-22
41 UGX 0.6064 0.6362 0.6213 22-Dec-22
42 USD 2297.3069 2320.28 2308.7935 22-Dec-22
43 GOLD 4167567.476 4210426.4936 4188996.9848 22-Dec-22
44 ZAR 132.6497 133.9437 133.2967 22-Dec-22
45 ZMK 125.0428 129.9804 127.5116 22-Dec-22
46 ZWD 0.4299 0.4386 0.4342 22-Dec-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news