Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 23,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2297.33 na kuuzwa kwa shilingi 2320.3 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7501.96 na kuuzwa kwa shilingi 7574.51.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 23, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.39 na kuuzwa kwa shilingi 17.57 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 329.19 na kuuzwa kwa shilingi 332.39.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 220.94 na kuuzwa kwa shilingi 223.10 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.38 na kuuzwa kwa shilingi 135.68.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2440.22 na kuuzwa kwa shilingi 2465.55.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2779.80 na kuuzwa kwa shilingi 2799.44 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.14 na kuuzwa kwa shilingi 2.19.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.66 na kuuzwa kwa shilingi 18.81 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.61 na kuuzwa kwa shilingi 0.64 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.63 na kuuzwa kwa shilingi 631.72 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.42 na kuuzwa kwa shilingi 148.72.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 23rd, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.6337 631.7179 628.6758 23-Dec-22
2 ATS 147.4195 148.7257 148.0726 23-Dec-22
3 AUD 1547.4793 1563.6502 1555.5647 23-Dec-22
4 BEF 50.2862 50.7314 50.5088 23-Dec-22
5 BIF 2.1996 2.2161 2.2079 23-Dec-22
6 CAD 1685.7402 1702.4726 1694.1064 23-Dec-22
7 CHF 2480.111 2503.8308 2491.9709 23-Dec-22
8 CNY 329.1865 332.3973 330.7919 23-Dec-22
9 DEM 920.514 1046.3585 983.4362 23-Dec-22
10 DKK 328.152 331.4004 329.7762 23-Dec-22
11 ESP 12.1919 12.2995 12.2457 23-Dec-22
12 EUR 2440.2204 2465.5508 2452.8856 23-Dec-22
13 FIM 341.1737 344.1969 342.6853 23-Dec-22
14 FRF 309.2501 311.9857 310.6179 23-Dec-22
15 GBP 2770.8058 2799.442 2785.1239 23-Dec-22
16 HKD 294.7445 297.6805 296.2125 23-Dec-22
17 INR 27.7707 28.0297 27.9002 23-Dec-22
18 ITL 1.0477 1.0569 1.0523 23-Dec-22
19 JPY 17.3935 17.5661 17.4798 23-Dec-22
20 KES 18.6623 18.8183 18.7403 23-Dec-22
21 KRW 1.795 1.8112 1.8031 23-Dec-22
22 KWD 7501.965 7574.5112 7538.2381 23-Dec-22
23 MWK 2.0883 2.2265 2.1574 23-Dec-22
24 MYR 519.5221 524.0063 521.7642 23-Dec-22
25 MZM 35.3979 35.6969 35.5474 23-Dec-22
26 NLG 920.514 928.6772 924.5956 23-Dec-22
27 NOK 234.9149 237.1913 236.0531 23-Dec-22
28 NZD 1445.9375 1461.3249 1453.6312 23-Dec-22
29 PKR 9.6784 10.2216 9.95 23-Dec-22
30 RWF 2.1396 2.1958 2.1677 23-Dec-22
31 SAR 610.9912 616.773 613.8821 23-Dec-22
32 SDR 3057.2824 3087.8552 3072.5688 23-Dec-22
33 SEK 220.9414 223.1058 222.0236 23-Dec-22
34 SGD 1701.8496 1718.7408 1710.2952 23-Dec-22
35 UGX 0.6066 0.6364 0.6215 23-Dec-22
36 USD 2297.3268 2320.3 2308.8134 23-Dec-22
37 GOLD 4168085.8376 4210114.741 4189100.2893 23-Dec-22
38 ZAR 134.3851 135.6845 135.0348 23-Dec-22
39 ZMW 125.1211 129.916 127.5186 23-Dec-22
40 ZWD 0.4299 0.4385 0.4342 23-Dec-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news