Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 27,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.61 na kuuzwa kwa shilingi 0.64 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 27, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.64 na kuuzwa kwa shilingi 631.72 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.42 na kuuzwa kwa shilingi 148.73.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2297.35 na kuuzwa kwa shilingi 2320.66 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7497.87 na kuuzwa kwa shilingi 7570.37.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.30 na kuuzwa kwa shilingi 17.48 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 328.81 na kuuzwa kwa shilingi 332.07.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 219.54 na kuuzwa kwa shilingi 221.65 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.29 na kuuzwa kwa shilingi 135.56.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2437.48 na kuuzwa kwa shilingi 2462.79.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2769.91 na kuuzwa kwa shilingi 2798.54 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.14 na kuuzwa kwa shilingi 2.19.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.65 na kuuzwa kwa shilingi 18.81 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 27th, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.639 631.7234 628.6812 27-Dec-22
2 ATS 147.4208 148.727 148.0739 27-Dec-22
3 AUD 1536.9248 1552.7582 1544.8415 27-Dec-22
4 BEF 50.2866 50.7318 50.5092 27-Dec-22
5 BIF 2.1996 2.2162 2.2079 27-Dec-22
6 CAD 1686.1259 1702.4873 1694.3066 27-Dec-22
7 CHF 2464.4352 2488.012 2476.2236 27-Dec-22
8 CNY 328.8124 332.0672 330.4398 27-Dec-22
9 DEM 920.5219 1046.3675 983.4447 27-Dec-22
10 DKK 327.8317 331.0723 329.452 27-Dec-22
11 ESP 12.192 12.2996 12.2458 27-Dec-22
12 EUR 2437.4847 2462.7877 2450.1362 27-Dec-22
13 FIM 341.1766 344.1998 342.6882 27-Dec-22
14 FRF 309.2528 311.9884 310.6206 27-Dec-22
15 GBP 2769.9107 2798.5379 2784.2243 27-Dec-22
16 HKD 294.5014 297.4236 295.9625 27-Dec-22
17 INR 27.729 28.0052 27.8671 27-Dec-22
18 ITL 1.0477 1.0569 1.0523 27-Dec-22
19 JPY 17.3058 17.4776 17.3917 27-Dec-22
20 KES 18.6549 18.8109 18.7329 27-Dec-22
21 KRW 1.7963 1.8135 1.8049 27-Dec-22
22 KWD 7497.8672 7570.3752 7534.1212 27-Dec-22
23 MWK 2.079 2.2392 2.1591 27-Dec-22
24 MYR 519.8793 524.3661 522.1227 27-Dec-22
25 MZM 35.3982 35.6972 35.5477 27-Dec-22
26 NLG 920.5219 928.6852 924.6036 27-Dec-22
27 NOK 232.9612 235.1858 234.0735 27-Dec-22
28 NZD 1440.8957 1456.6969 1448.7963 27-Dec-22
29 PKR 9.6677 10.2217 9.9447 27-Dec-22
30 RWF 2.1374 2.1934 2.1654 27-Dec-22
31 SAR 611.0777 616.8603 613.969 27-Dec-22
32 SDR 3057.3088 3087.8818 3072.5953 27-Dec-22
33 SEK 219.5434 221.6499 220.5967 27-Dec-22
34 SGD 1704.2631 1720.2847 1712.2739 27-Dec-22
35 UGX 0.6067 0.6366 0.6217 27-Dec-22
36 USD 2297.3466 2320.32 2308.8333 27-Dec-22
37 GOLD 4126700.607 4168315.661 4147508.134 27-Dec-22
38 ZAR 134.296 135.562 134.929 27-Dec-22
39 ZMW 124.4931 129.4821 126.9876 27-Dec-22
40 ZWD 0.4299 0.4385 0.4342 27-Dec-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news